Sunday, 1 December 2019

NAIBu KATIBU MKUU WAJUMUHIYA YA WAZAZI CCM TAIFA AHANIKA MAZURI ALIYE FANYA RAISI MAGUFULI

Tija Magoma naibu katibu mkuu jumuhiya ya wazazi ccm taifa amesema raisi Magufuli ameweza kutenga fedha bilioni 450 kwaajili ya kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu, ametoa bilioni415 kwaajili ya manunuzi ya vifaa tiba, vitenganishi vya dawa na madawa

Na ujenzi wa daraja la juu la ubungo ametoa fedha bilioni247 pia ametoa kiasi cha bilioni 280.5 kwaajili ya elimu bule kwa ngazi ya msingi hadi secondary  Tija Magoma amesema kongamano walilolifanya kwaajili ya kumpongeza raisi Magufuli kwa mazuri aliyofanya pamoja na kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa sadec na kuweza kununua ndege, meli, vivuko na ujenzi wa maospitali
Amesema nivema raisi Magufuli aongezewe miaka ata20 ya kuongoza tanzania amesema haya jijini dar es salaam kwenye kongamano la jumuhiya ya wazazi ccm taifa

Habari picha na Victoria  Stanslaus





No comments:

Post a Comment