Thursday 21 February 2019

HATOTEL YAJA KIVINGINE



Kiongozi wa kampuni ya Halotel amesema wameamu kuja na huduma ya Royal bando na Tomato bando lengo kutatua changamoto za mawasiliano kwa gharama nafuu na kampuni ya halotel kuwafikia watanzania wa mijini na vijijini. Mpaka sasa kampuni ya Halotel imeenea nchini Tanzania Kwa zaidi ya Asilimia 94% ambako vijijini ni asilimia ni 60% kwa mijini asilimia 34%.
kiongozi huyu lengo nikufikia asilimia 100% katika kutoa huduma zao Pia Halotel imewafikia zaidi ya watanzania Milioni nne na laki mbili. Ametoa wito kwa watanzania kuchangamkia huduma hii ya Royal bando na Tomato bando, amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Royal bando na Tomato bando Jijini Dar es Salaam.

Habari Picha na Victoria Stanslaus

KAMPUNI YA HALOTEL YAZINDUA HUDUMA KABAMBE


Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Muhina kutoka Halotel akiambatana na viongozi wa kampuni hiyo pamoja na wasanii wakizindua huduma ya Halotel ya tomato bando kwa ajili ya watu wa kipato cha chini na huduma ya Royal bando ambako mtu yeyote anaweza akampigia simu mtu wa nje kupitia mtandao wa Halotel kwa gharama nafuu.

Habari picha na Ally Thabiti

Saturday 16 February 2019

UTALII WA NDANI ULETA MAGEUZI YA UCHUMI


Mary Kalikawe mwenyekiti wa Association of Women in Tourism Tanzania amesema wameamua kuanzisha utalii wa ndani lengo kukuza hajira na kuinua uchumi wa nchi yetu amesema utalii huu utasaidia kuongeza mapato ya Nchi yetu kwa kiasi kikubwa, amesema haya wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya utalii wa ndani viwanja vya Makumbusho ya Taifa.

Habari Picha na

Victoria Stanslaus

KAMPUNI YA BE FORWARD YAFUNGUA MILANGO KWA WATANZANIA



Peter Wilfred wa Kampuni ya Be Forward amewataka watanzania na si watanzania watumie kampuni ya katika kuagiza magari kutoka nchini Japani kwakuwa kampuni yao inatumia gharama ndogo, Mda mfupi na usalama ni mkubwa amesema haya kwenye maonesho ya utalii wa ndani uwanja wa makumbusho.

Habari Picha na

Victoria Stanslaus 

PICHANI WASHIRIKI WAKIPOKEA NENO



Pichani washiriki kutoka asasi mbalimbali za kiria wakiwemo wabunge na madiwani wakijengewa uwezo juu ya maswala ya uwongozi makao makuu ya TGNP Mtandao Mabibo mjini Dar es salaam.

Habari Picha na

Victoria Stanslaus

KATIBU WA WABUNGE AWATOA MCHECHETO WANAWAKE


Katibu wa wabunge wanawake amewataka wanawake nchini Tanzania kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi amesema haya makao makuu ya TGNP Matandao baada ya kutembelewa na ugeni kutoka Firlendi ametoa wito kwa watanzania kuachana na mila na desturi potofu dhidi ya mwanamke kuwa mwanamke ni mtu wa kuolewa si kweli.

Habari Picha na

Victoria Stanslaus

MKURUGENZI MTENDAJI WA TGNP MTANDAO HATOA YA MOYONI UJIO WA WAGENI


Mkurugenzi wa mtendaji wa TGNP Mtandao   RILIANI LIUNDI amesema ujio wa wagenikutoka Filendi umewapa chachu kubwa katika kuendelea kupigania haki za wanawake na maswala ya ukatili wa kijinsia pia watazidi kuwajengea uwezo wanawake katika maswala ya kugombea uwongozi ambako barozi wa Filendi kushoto pia kwa upande wake barozi huyu amesema maswala ya bajeti ya kijinsia nchi kwao wamepiga hatua kwa kiasi kikubwa na swala ya uongozi kwa wanawake wamefanikiwa amesema haya alivyotembelea makao makuu ya TGNP Mtandao.

Habari Picha na

Victoria Stanslaus

Tuesday 12 February 2019

HALOTEL YAMWAGIWA PONGEZI


Naibu waziri wa mawasiliano na uchukuzi Atashasta Nditie amepongeza kampuni ya mtandao wa simu za mkononi Halotel kwa kupiga hatua kwa kuwafikia wananchi wa vijijini kwa huduma zao, Pia amewapongeza kwa usajili kwa kutumia halama za vidole kwa wateja wao naibu waziri ameahidi wizara yake pamoja na serikali itatua changamoto zinazowakabili kampuni hii ya halotel. Amesema haya baada ya kutembelea makao makuu ya kampuni ya halotel jijini Dar es salaam.

Habari Picha na 

Victoria  Stanslaus

Monday 11 February 2019

MBUNGE TUNDULISU ABULUZWA MAHAKAMANI


Mkurugenzi Mtendaji wa Magazeti ya Tanzanite na fahali yetu Siprian Musiba, amesema atamfungulia mashtaka mbunge wa Singida mashariki"Tindu Lisu" kwa kusambaza maneno ya uongo, yakumpaka matope raisi Magufuli. amesema yeye atamfungulia mashataka kwa kosa la uhaini na usaliti amewataka watanzania na ulimwengu kwa ujumla wayapuuze maneno ya Tundu Lisu na wamuogope kama ukoma.
Muheshimiwa Raisi Magufuli achagui viongozi kwa udini, ukabila, ukanda na urafiki pia ametoa wito kwa watanzania wailinde na kutunza amani iliyopo kwani bila kufanya hivyo itatokea kama silya, Congo na ribia ambako wananchi wanamwaga damu mpaka leo.







Habari Picha na Victoria Stanslaus

Saturday 9 February 2019

WAZILI WA VIWANDA NA BIASHARA AIPA TANO KAMPUNI YA TOTAL.



Wazili wa viwanda na biashara Joseph George Kakunda ameipongeza kampuni ya Total kwa kuzindua vilainishi vya aina mbalimbali amesema kuwa itasaidia vijana wengi kupata ajira, na pato la nchi kuongezeka na kupata vilainishi vyenye ubora ambako jumla ya watanzania 51,000 mpaka sasa wameajiliwa na Total na huku Serikali itapata kodi ya 200$ kwa mwaka, huku kiwanda hiki cha Total kimegalimu 2000$  ametoa wito kwa kampuniya Total iwatumie wasambazaji waliosajiliwa na EURA pia wazingatie mikataba ya wasambazaji kwa uoande mwengine tena amewataka watumishi wa serikali kuto wasumbua kampuni ya Total na kufanya kitega uchumi chao cha kwenda kuchukua pesa apo Total wawaache wafanye kazi zao za kuzalisha vilainishi.

Habari Picha

Victoria Stanslaus

KAMPUNI YA TOTAL YAMUUNGA MKONO RAISI MAGUFULI


Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Total Tarik Moufaddal amesema wameamua kuzindua kampuni ya vilainishi lengo kuu kuondoa adha ya vilainishi vya mitambo hapa nchi ya kwenye viwanda pamoja na magari na vyombo vyenine vinavyotumia vilanishi vya aina hiiili kuakikisha zima ya Raisi Magufuli inatimia na kupiga hatua kwa kiasi kikubwa, kampuni hii ya vilainishi ya total imezinduliwa wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam.

Habari picha

Ally Thabit

PICHANI WAZILI WA VIWANDA AKIKATA UTEPE.



Wazili wa Viwanda na Biashara Joseph George Kakunda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa virainishi ya Total.

Habari Picha

Victoria Stanslaus

NAIBU WAZILI WA MAMBO YA NDANI HAZITAKA TAASISI ZA KIDINI KUTOA ELIMU.


Naibu wazili wa mambo ya ndani Masauni amezitaka taasisi mbalimbali za kidini hapa nchini kutoa elimu za dini na swala ya kilaia pia amewataka viongozi wa kidini kuondoa migogolo kwenye taasisi zao na kuachana kung'ang'ania madalaka, amesema haya kwenye kongamano la siku mbili liliandaliwa na taasisi ya Umoja wa wanazuoni Afrika. kulia akiwa na shekhe wa mkoa kushoto akiwa na mwenyekiti wa taasisi ya Umoja wa wanazuoni afrika.


Habari picha

Ally Thabiti

UMOJA WA WANAZUONI WA AFRIKA WATOA NENO


Mwenyekiti Salehe Abdallah Ndauga wa umoja wa wanazuoni wa Afrika kutoka nchini Tanzania amewataka Watanzania kuungana pamoja na kushirikiana kwa ajiri ya kukuza uchumi wa nchi yetu na kwakumuunga mkono Mweshimiwa Raisi Magufuri bila kujali itikadi za dini zetu pia ameitaka jamii ya kitanzania kuilinda amani na kuitunza amesema haya kwenye kongamano la siku mbili linalofanyika jijini Dar es salaam wilaya ya Temeke.

Habari picha
Victoria Stanslaus

Friday 1 February 2019

HLRC YARAANI VIKARI MAUWAJI YA WATOTO


Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha msada wa kisheria na haki za binadamu (HLRC) kwa kushirikiana na asasi zingine za kiraia wamesema mauwaji ya watoto 10 yaliyofanyika mkoani njombe ni vyema serikali ichukue hatua kari zidi ya wauwaji hao pia amewataka watanzania wote kwa ujumla kuwafichua waliotekeleza mauwaji haya na ametoa wito kwa watanzania kuto jishughulisha na mauwaji ya watoto na ameitaka serikali kutokomeza vitendo hivyo kwani vimekisili hapa nchini.



Habari picha na Ally Thabiti