Tuesday, 12 February 2019

HALOTEL YAMWAGIWA PONGEZI


Naibu waziri wa mawasiliano na uchukuzi Atashasta Nditie amepongeza kampuni ya mtandao wa simu za mkononi Halotel kwa kupiga hatua kwa kuwafikia wananchi wa vijijini kwa huduma zao, Pia amewapongeza kwa usajili kwa kutumia halama za vidole kwa wateja wao naibu waziri ameahidi wizara yake pamoja na serikali itatua changamoto zinazowakabili kampuni hii ya halotel. Amesema haya baada ya kutembelea makao makuu ya kampuni ya halotel jijini Dar es salaam.

Habari Picha na 

Victoria  Stanslaus

No comments:

Post a Comment