Saturday, 16 February 2019

MKURUGENZI MTENDAJI WA TGNP MTANDAO HATOA YA MOYONI UJIO WA WAGENI


Mkurugenzi wa mtendaji wa TGNP Mtandao   RILIANI LIUNDI amesema ujio wa wagenikutoka Filendi umewapa chachu kubwa katika kuendelea kupigania haki za wanawake na maswala ya ukatili wa kijinsia pia watazidi kuwajengea uwezo wanawake katika maswala ya kugombea uwongozi ambako barozi wa Filendi kushoto pia kwa upande wake barozi huyu amesema maswala ya bajeti ya kijinsia nchi kwao wamepiga hatua kwa kiasi kikubwa na swala ya uongozi kwa wanawake wamefanikiwa amesema haya alivyotembelea makao makuu ya TGNP Mtandao.

Habari Picha na

Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment