Monday, 11 February 2019

MBUNGE TUNDULISU ABULUZWA MAHAKAMANI


Mkurugenzi Mtendaji wa Magazeti ya Tanzanite na fahali yetu Siprian Musiba, amesema atamfungulia mashtaka mbunge wa Singida mashariki"Tindu Lisu" kwa kusambaza maneno ya uongo, yakumpaka matope raisi Magufuli. amesema yeye atamfungulia mashataka kwa kosa la uhaini na usaliti amewataka watanzania na ulimwengu kwa ujumla wayapuuze maneno ya Tundu Lisu na wamuogope kama ukoma.
Muheshimiwa Raisi Magufuli achagui viongozi kwa udini, ukabila, ukanda na urafiki pia ametoa wito kwa watanzania wailinde na kutunza amani iliyopo kwani bila kufanya hivyo itatokea kama silya, Congo na ribia ambako wananchi wanamwaga damu mpaka leo.







Habari Picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment