Friday, 1 February 2019

HLRC YARAANI VIKARI MAUWAJI YA WATOTO


Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha msada wa kisheria na haki za binadamu (HLRC) kwa kushirikiana na asasi zingine za kiraia wamesema mauwaji ya watoto 10 yaliyofanyika mkoani njombe ni vyema serikali ichukue hatua kari zidi ya wauwaji hao pia amewataka watanzania wote kwa ujumla kuwafichua waliotekeleza mauwaji haya na ametoa wito kwa watanzania kuto jishughulisha na mauwaji ya watoto na ameitaka serikali kutokomeza vitendo hivyo kwani vimekisili hapa nchini.



Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment