Saturday, 9 February 2019

WAZILI WA VIWANDA NA BIASHARA AIPA TANO KAMPUNI YA TOTAL.



Wazili wa viwanda na biashara Joseph George Kakunda ameipongeza kampuni ya Total kwa kuzindua vilainishi vya aina mbalimbali amesema kuwa itasaidia vijana wengi kupata ajira, na pato la nchi kuongezeka na kupata vilainishi vyenye ubora ambako jumla ya watanzania 51,000 mpaka sasa wameajiliwa na Total na huku Serikali itapata kodi ya 200$ kwa mwaka, huku kiwanda hiki cha Total kimegalimu 2000$  ametoa wito kwa kampuniya Total iwatumie wasambazaji waliosajiliwa na EURA pia wazingatie mikataba ya wasambazaji kwa uoande mwengine tena amewataka watumishi wa serikali kuto wasumbua kampuni ya Total na kufanya kitega uchumi chao cha kwenda kuchukua pesa apo Total wawaache wafanye kazi zao za kuzalisha vilainishi.

Habari Picha

Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment