Thursday, 21 February 2019

HATOTEL YAJA KIVINGINE



Kiongozi wa kampuni ya Halotel amesema wameamu kuja na huduma ya Royal bando na Tomato bando lengo kutatua changamoto za mawasiliano kwa gharama nafuu na kampuni ya halotel kuwafikia watanzania wa mijini na vijijini. Mpaka sasa kampuni ya Halotel imeenea nchini Tanzania Kwa zaidi ya Asilimia 94% ambako vijijini ni asilimia ni 60% kwa mijini asilimia 34%.
kiongozi huyu lengo nikufikia asilimia 100% katika kutoa huduma zao Pia Halotel imewafikia zaidi ya watanzania Milioni nne na laki mbili. Ametoa wito kwa watanzania kuchangamkia huduma hii ya Royal bando na Tomato bando, amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Royal bando na Tomato bando Jijini Dar es Salaam.

Habari Picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment