Friday 30 June 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASIMU MAJALIWA ALETA TUMAINI LA WAATHILRIKA WA MADAWA YA KULEVYA MJINI DODOMA

Waziri mkuu wa  Tanzania MAJALIWA KASIMU MAJALIWA  amezinduwa kituo cha kuwatibia waathirika wa madawa ya kulevya  eneo la ITEGO mjini DODOMA kituo hiki kitakuwa kinatoa tiba bule kwa waathirika na kuweza kuludisha matumaini  ya nguvu kazi ya Taifa inayopotea ya vijana kulia na Waziri wa Afya, jinsia, watoto na wazee  UMI MWALIMU na  kushoto na Kamishna wa kupambana na madawa ya kulevya ROGERS SIANGA kwenye mazimisho ya kitaifa ya kupinga matumizi yz madawa ya kulevya  kwa wauzaji na watumiaji Duniani kuazimishwa tarehe 29/6 kila mwaka


habari picha na ALLY THABITI

Thursday 29 June 2017

WAFANYA BIASHARA WAKARIAKOO WAMEASWA KUUNGANA PAMOJA


Kaimu mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara kariakoo JERADI  amesema  ni vema wafanya biashara wakaungana na wawe kitu kimoja ili waweze kutetea maslai yao kwa uraisi Pia amewataka wafanya biashara waweze kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano utakao fanyika tarehe 1/7/2017 katika Hotel ya STAR LIGHT ili waweze kufaamu mapato na matumizi na mwenendo wa jumuiya na kupewa namna ya kuendelea kibiashara pia jumuiya ya wafanya biashara wa kariakoo inamuungamkono kwa dhati rais MAGUFULI  katika kuelekea Tanzania ya viwanda  akiambatana na mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara

Habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

TOZO YA 0.5 NI MWIBA MKALI KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO

Katibu wa jumuiya ya wafanya biashara wa maduka kariakoo ABDALA MWINYI  amesema  tozo wanayo tozwa ya pesa ya 0.5 imekuwa ni tatizo kwao kwani tozo iyo iinawafanya wafanya biashara kutozwa pesa ya mtaji wao ndio maana maduka mengi kariakoo yamefungwa Ameiasa serikali isitumie nguvu kubwa katika kukusanya kodi kariakoo badala yake nguvu hizo wazitumie kuboresha miundombinu ya soko la kariakoo Pia watengeneze mazingira bora ya kuwashirikisha wafanya biashara kwenye  huundwaji wa sheria za kodi .ametoa wito kwa serikali imtambue mfanya biashara kuwa ni mlipa kodi nasio mwizi wala mkwepa kodi  amemalizia kwa kuwataka wafanya biashara wajitokeze kwa wingi kwenye mkutano mkuu utakao fanyika Hotel ya STAR LIGHT ukao fanyika tarehe 1/7/2017


habari picha na ALLY THABITI

Wednesday 28 June 2017

NA HUU NDIO MONGOZO ULIOZINDULIWA NA MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIAH SULUHU ASANI

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

MAKAMU WA RAIS AMESEMA TUWALINDE WANYAMA POLI KWAAJILI YA TAIFA LETU

Makamu wa rais MAMA SAMIAH SULUHU ASANI  amewataka watanzania wawalinde wanyama poli na watunze maliasiri kwani ni vitu ambavyo vinatuingizia pesa Nchini Pia ameitaka wizara ya MALIASIRI  na UTARII itumie vizuri sheria na kanuni zilizopo kwenye mongozo aliozinduwa leo 


habari picha na ALLY THABITI

MUARUBAINI WA KUWAZIBITI MAJANGILI WA WANYAMA POLI WAKAMILIKA

Na apa makamu wa rais MAMA SAMIAH SULUHU ASANI akizindua muongozo wa sheria za kuwazibiti majangili wa wama poli


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

KATIBU WA WIZARA YA MAJI ATOA AGIZO KALI

Katibu wa wizara ya maji prof KITILA MKUMBO  ametoa agizo kwa DAWASA na WAPCOS kutoka INDIA kukamilisha mara moja vituo vya maji 115 vilivyo baki mjini CHALINJE ambako akiwa katikati ndio katibu wa wizara ya maji


habari picha na  ALLY THABITI

ATUA ZA MRADI ZALETA FARAJA

Meneja wa mradi wa maji RUVU  juuu EMANUEL MUKASA  amesema  hatua ya mradi ulipofikia ni mzuri ivyo inatia faraja kubwa amesema aya baada ya kumuonyesha miundombinu ya maji ya  RUVU juu katibu mkuu wa wizara ya maji prof KITILA MKUMBO

Habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

ADHA YA MAJI DAR ES SALAAM SASA BASI

Kaimu mtendaji wa DAWASA amesema ifikapo mwezi wa kumi 2017 jiji la dar es salaam litapata lita za maji756 ivyo akutokuwa na tatizo la maji tena  amesema haya baada ya katibu wa wizara ya mafi na taka prof KITILA MKUMBO alivyo tembelea mradi wa maji RUVU juu  pichani akionyeshwa mradi unavyoendelea

 habari picha na ALLY THABITI

Tuesday 27 June 2017

UV CCM CHAMANZI WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA UJASILI WAKE

ABDALA IBRAIM ni mwenyekiti anae maliza muda wake wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi ccm kata ya chamanzi wanamuunga mkono rais MAGUFULI kwa ujasili wake kwakuwafichua mafisadi na kulinda rasilimali ivyo kwa pamoja wanamuunga mkono kwa asilimia mia moja hamesema ameweza kuwajengea uelewa watanzania kuusu mchanga  wenye dhahabu ulio kuwa unasafilishwa nje ya nchi  ametoa wito kwa jamii wamuunge mkono rais na wamuombee kwa Mungu ili apate moyo na nguvu ya kuzidi kufichua mafisadi


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

WAZIRI AOKOA JAAZI KWA WATU WENYE ULEMAVU KUSHILRIKI MAONYESHO YA 41 YA SABA SABA

Waziri wa biashara ,viwanda na uwekezaji CHAZI MWIJAGE  ameweza kuwasaidia watu wenye ulemavu wa aina mbalimbali kushiriki kwenye maonyesho ya 41 ya saba saba  kwakuwapa eneo rafiki la kuweka bidhaa zao ukilinganisha na kipindi kilichopita pia amewapongeza kwa ushiriki wao  na kuwataka watu wengine wenye ulemavu waweze kushiriki kwenye shughuri mbalimbali za ujenzi wa Taifa ametoa wito kwa jamii wasiwafungie,wasiwabague na wasiwanyanyapae bila kujali aina ya ulemavu wao badala yake wawapeleke shule na wawape mitaji ya biashara


habari picha na ALLY THABITI

KATIBU WA UV CCM AENDESHA UCHAGUZI WA MATAWI BILA MIZENGWEMIZENGWE TAKA YA CHAMANZI

STUKIA ALLY  katibu wa jumuiya ya umoja wa vijana ccm ameweza kuendesha uchaguzi wa umoja wa vijana wenye jumla ya matawi13 ambako uchaguzi ulikuwa wa uru na haki na sasa wanaelekea kwenda kwenye uchaguzi wa katibu umoja wa vijana na mwenyekiti kwa kata ya chamanzi ivyo ametoa wito kwa wagombea wote wasome katiba ya chama cha mapinduzi cha ccm lengo waweze kufaamu kanuni na talatibu za chama ili waachane na tabia ya kulalamika,kunung'unika na kuto susia matokeo pindi mshindi atakapo tangazwa STUKIA ALLY  ni katibu anemaliza muda wake kikanuni atogombea tena ivyo atagombea kwenye jumuiya ya wazazi amewaomba wanachamanzi waweze kumchaguwa tena kwani yeye ni mwaminifu,muhadilifu,mpambanaji,mpiganaji na mtetezi wa wanyonge


habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

RAIS MAGUFULI KUFUNGUA MAONYESHO YA SABA SABA YA 41

Waziri wa biashara,viwanda na uwekezaji CHAZI MWIJAGE amesema maonyesho ya saba saba ya 41 yatafunguliwa na rais MAGUFULI tarehe 1/7/2017 jumla ya makampuni 25oo yatashiriki maonyesho hayo na nchi 30 zitashiriki ivyo amewataka watanzania waweze kujifunza ujuzi kutoka kwa watu wa nje watakao shiriki kwenye maonyesho ya saba saba  amewapongeza TANTRADE kwa kuandaa vizuri maonyesho haya saba saba na kwakumuunga mkono rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya viwanda kwani washiriki wamejitokeza kwa wingi mno .amesema haya baada ya kumaliza kukagua mabanda kwenye viwanja vya saba saba wilayani Temeke jijini Dar es salaam

habari picha na  ALLY THABITI

SHEKH MKUU WA DHEHEBU LA SHIA ITHANA ALAANI MAUAJI YANAYOTOKEA KIBITI

SHEKH SHARIYA HEMED JALALA amesema kwaniaba ya viongozi wenzake na waumini kwaujumla wanalaani vikali mauaji yanayotokea KIBITI wilayani MKURANGA mkoa wa PWANI ivyo amewataka viongozi wa kidini waungane pamoja katika kutoa elimu,kufanya maombi na kutoa nasaha pamoja na kuwasii watanzania wote waache mala moja kufanya mauaji yanayotokea KIBITI kwani inachafua TAIFA letu na kuatalisha Amani tulio nayo Hamekwenda mbali zaidi kwa kusema ni vyema sasa viongozi wa kidini wote kuwa kitu kimoja bila kujali itikadi zao, madhehebu yao na rangi zao pamoja na makabila yao ametoa wito kwa watanzania watume akili katika kufanya mema ili isitokee kama PALESTINA na  PAKSTANI  amesema haya kwenye ibada ya EID AL FITR ambayo imefanyika kwenye msikiti wa AL GHADIR uliopo kigogo wilaya ya kinondoni jijini Dar es salaam


habari picha na ALLY THABITI

Monday 26 June 2017

WACHANGIA DAMU WATOLEWA OFU

Meneja wa benki ya damu salama kanda ya mashariki mganga AVERINA MGASA amesema kuwa ukichangia damu damu aitoki mala kwa mala kama watu wavyosema  ivyo amewataka watanzania wote wazidi kujitokeza kuchangia damu amewapongeza waandishi wa habari wote kwa kutoa elimu kwa jamii  juu ya kuchangia damu pia ameeleza sifa za mchangiaji damu asiwe mama mjamzito,asiwe na ugonjwa waseli mundu,plesha,ugonjwa wa Ini,figo na magonjwa ya zinaa amesema kwa mwaka damu inayotakiwa kukusanywa vyupa laki3 ivyo wanakusanya vyupa vya damu laki 1tisini na sita ivyo ameiasa jamii ijitolee katika uchangiaji wa damu ili kutimiza malengo


habari picha na ALLY THABITI

Sunday 25 June 2017

NGAOMA ALLY NGAOMA AUKWAA UWENYE KITI WA UV CCM KWA KISHINDO

NGAOMA ALLY NGAOMA amembwaga mpinzani wake TUMAINI MAKWINYO kwenye uchaguzi wa umoja wa vijana ccm kwenye tawi la BONDE LA MPUNGA kata ya MSASANI nakupata nafasi ya UWENYEKITI wakati uchaguzi unaendelea TUMAINI MAKWINYO aliondoka kwenye ukumbi wa kupiga kura ataivyoMWENYEKITI NGAOMA ASLLY NGAOMA  amesema atasimamia haki ,uadilifu ,amani na kulinda mali za chzma nawatakao kuwa wabadhilifu wa mali za chama na watakao kiuka maadili hatua kali zitachukuliwa zidi yao kwa kufuata kanuni, taratibu na sheria zilizopo ndani ya chama cha ccm amemalizia kwa kusema Umoja WA VIJANA WA CHAMA CHA CCM TAWI LA BONDE LLA MPUNGA NA KATA YA MSASANI kwaujumla wanamuunga mkono rais MAGUFURI kwaatua kali anazochukuwa dhidi ya wabadhilifu na mafisadi ivyo wapo ntyuma yake ametoa wito baada ya uchaguzi kumalizika watakuwa kitu kimoja na kushilikiana nao waliokuwa wapinzani wake


habari picha na ALLY THABITI

FIGISU FIGISU UCHAGUZI WA UV CCM SASA BASI

Mkurugenzi wa uchaguzi wa UV CCM tawi la bonde la mpunga kata  ya MSASANI FRANSESI KILEO MTARO ameweka adharani matokeo ya uchaguzi kwenye tawi la BONDE LA MPUNGA ya uchaguzi wa umoja wa vijana wa CCM na kumtangaza NGAOMA ALLY NGAOMA kuwa ni mshindi kwenye nafasi ya uwenyekiti dhidi ya mpinzani wake TUAMINI MAKWINYO  ambae amebwagwa chali kwakupata kura 6 hivyo amesema uchaguzi umekuwa wa uru na haki akukuwa na figisu figisu zozote

habari picha na ALLY THABITI

BAADHI YA MADIWANI WALIOUDHURIA KWENYE FTARI YA PAMOJA

Hilio andaliwa na mstaiki meya wa halmashauiri ya kinondoni  BENJAMINI SITA



habari picha na VICTORIA STANSLAUS

HAPA WATU WAKIJUMUIKA KWENYE FTARI YA PAMOJA

Habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

VIONGOZI WA KIDINI WAMEOMBWA KUENDELEZA MSHIKAMANO

Mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA  amewaomba viongozi wa kidini wazidi kushilikiana na viongozi na madiwani wa  halmashauri ya kinondoni pia amesema kama kuna tatizo lolote viongozio wa kidini wasisite kuwaona amemaliza kwa kuwashukuru wote waislasm na wasiowaislam kwa kuudhuria kwernye ftari ilioandaliwa na halmashauri ya KINONDONI  kwani wameonyesha umoja na mshikamano ametoa wito kwa watanzania wazidi kumuunga mkono rais MAGUFULI kwaku;linda na kutetea raslimali za nchi Pia amewaomba viongozi wa kidini wazidi kumuombea rais MAGUFULI

Habari picha na ALLY THABITI

AMANI NI TUNU

shekh EMEDI JARARA amesema amani tulionayo watanzania ni tunu kubwa ivyo ni vyema tuitunze ,tuilinde na tuithamini kwani tukiipoteza nivigumu kuipata tena Pia amewataka waislam na wasio waislam wasiache kumwabudu Mungu amesema aya kwenye ftari ilioandaliwa na mtaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA


habari picha na ALLY THABITI

WAISLAM WAMEASWA KUWAPUUZA WACHOCHEZI WA KIDINI

Haya yamesemwa na mwakilishi wa mufti wa Tanzania ABUBAKARI ZUBERI ambaye ni mjumbe wa ULAMAA shekh ALLY NGERUKO ameenda mbali zaidi kwakuwataka waislam na wasio waislam kulinda umoja wa kitaifa Pia amesema wao viongozi wa kidini wana muunga mkono rais MAGUFULI kwa kusimamia rasilimali za nchi pia wanamuombea kwa mungu yeye na wasaidizi wake kwa kazi nzuri wanazofanya haya amesema kwenye ftari ilioandaliwa na mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni  BENJAMINI SITA 


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

NENO ZITO LATOLEWA NA SHEKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM

ALHAD MUSA  SALMU amewataka waislam waendeleze mema utakavyo malizika mwezi mtukufu wa ramadhani  Pia amesisitiza kudumisha amani, upendo ,mshikamano na utulivu kwa waislam na wasio waislam amewataka wele wote walio funga watoe sadaka ya mchere kilo mbili na nusu kabla yas kusali EID AL FITR kwa masikini na mafakiri  Ametoa wito watu washerekehe sikukukuu ya EID bila vurugu na wasifanye maasi ikiwemo kunywa pommbe na kwenda sehemu za muziki .Hamewaasa wazazi wawalinde na kuwachunga watoto wao shekh mkuu amemaliza na kusema ibada ya EID kitaifa itafanyika mkoani KIRIMANJARO ambapo itaambatana na baraza la EID kwenye viwanja vya polisi CCP ambako mgeni lasmi atakuwa waziri mkuu wa Tanzania MAJARIWA KASIM MAJARIWA kwa mkoa wa DAR ES SALAAM ibada ya EID itafanyika viwanja vya MNAZI MMOJA ambako itaoongozwa na rais mtaafu wa awamu ya pili ALLY HASANI MWINYI amesema haya kwenye ftari ilioandaliwa mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA

habari picha na ALLY THABITI

Friday 23 June 2017

MGANGA MKUU WA DAR ES SALAAM ACHANGIA DAMU

GRESI MAGEMBE ni mganga mkuu wa dar es salaam ameshiriki kwenye zoezi la kuchangia damu kwenye be4nki ya damu salama na yeye ametoa damu yake kwaajili ya kuweza kunusulu uhai wa watanzania asa wakina mama wajawazito ambao upoteza maisha pindi wanapo jifungua kwa kupungukiwa na damu ivyo ametoa wito kwa jamii iweze kujitokeza kwaajili ya kutoa damu yao kwenye vituo mbalimbali vya Afya na Ospitali zikiwemo AMANA ,MWANANYAMARA ,TEMEKE  ZAKIEMU MUHIMBILI na SINZA PALESTNA

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

WANAFUNNZI WA CHUO KIKUU CHA MLIMANI WAMEASWA KUTUMIA MAKTABA ZA CHUO HICHO

Msimamizi wa maktaba wa chuo kikuu cha mlimani amewataka wanafunzi wa chuo icho watumie maktaba za chuo iko kwaajili ya kujifunza na kufanya tafiti mbalimbali Pia ametoa rai kwa serikali iboreshe nqa ikarabati miundombinu ya maktaba ya chuo icho

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

MENEJA USHAWISHI WA WATU WENYE ULEMAVU AMEWATAKA WATU WENYE ULEMAVU KUCHANGIA DAMU

FRED MSIGARA ni meneja mshawishi wa CCBRT kwa watu wnye ulemavu amesema watu wenye ulemavu wajitokeze kuchangia damu kwenye benki ya damu salama kwani damu iyo itasaidia kunusulu vifo vya mama wajawazito na majerui wanaotokana na ajali pia itakuwa aakiba kwao wakipungukiwa na damu ivyo ataingia gharama ya kununua damu pindi watapoitaji FRED MSIGARA ameongezea akisema nchi yetu ya Tanzania inaitaji kiasi kikubwa cha damu ametoa wito kwa jamii wachangie damu kwa iyali yao na waachane na dhana potofu kuwa damu inauzwa nje ya nchi


habari picha na ALLY THABITI

KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAISHUKURU KAMPUNI YA ITEL KWAMSAADA

Katibu mtendaji wa kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA.  ASANI HAMISI ameishukuru kampuni ya itel kwakuweza kuwapa msaada wa chakula na vifaa vya shule kwaajili ya watoto yatima waliokoa kwenye kituochake amesema ukosefu wa pesa na malezi ni changamoto kwa kituo hicho ametoa wito kwa taasisi zingine ziweze kusaidia vituo vya kulea watoto yatima kwani watoto yatima ni watoto wanaishi kwenye mazingira magumu ivyo wanaitaji chakula,elimu pamoja na afya Pia ametoa wito kwaserikali ziweze kusaidia taasisi hizi kwani nazo zinafanya kazi kubwa za kulea watoto hawa CHAKUWAMA ni kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo sinza mori kina jumla ya watoto 60 wakike na wakiume wenye umri kuanzia mwaka mmoja na nusu hadi 19


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

KAMPUNI YA SIMU YA ITEL YATOA MKONO WA EID AL FITR KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA

kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo sinza mori Mafuta ya kupikia ,mchele, unga wa sembe pamoja na madaftari hivi ndio vitu ambavyo vimetolewa na itel

habari picha na ALLY THABITI

MSANII NGURI WA BONGO MUVI IRENE UWOYA AMEWATAKA WASANII WENZAKE WATEMBELEE VITUO VYENYE WATOTO WENYE MAITAJI MAALUM

IRENE UWOYA nibarozi wa kampuni ya itel amewataka wasanii wenzake watembelee vituo vya kulelea watoto wenye maitaji maalum amesema haya baada ya kuwatembelea watoto yatima wa kituo cha CHAKUWAMA  kilichopo sinza mori pia ametoa wito kwa taasisi mbalimbali zitoe msaada kwa watoto wa namna hii amesema amesema haya baada ya kampuni yake ya itel kutoa msaada wa chakula na madaftali kwenye kituo cha CHAKUWAMA

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

NENO ZITO WAPEWA MADAKTARI WA OSPITALI YA MWANANYAMARA

Mmoja ya viongozi wa madaktari amewataka madaktari wa ospitali ya mwananyamara vifaa tiba,madawa na viti mwendo wavitumie kwa walengwa nasi kwawasio walengwa ikibainika hatua kali zitachukuliwa dhidi ya madaktari


habari picha na ALLY THABITI

PICHANI VIFAA VILIVYOTOLEWA NA JUMUIYA YA WAISLAMU

Madaktari wanashuudia viti ,madawa,kiti mwendo pamoja na vingine vilivyo tolewa na jumuiya ya waislamu kwenye Ospitali ya MWANANYAMARA Wilaya ya kinondoni

habari picha na ALLY THABITI


JUMUIYA YA WAISLAMU YAMWAGA VIFAA OSPITALI YA MWANANYAMARA

Kiongozi mkuu wa jumuiya ya waislamu amesema wametoa vifaa na madawa kwenye ospitali ya MWANANYAMARA lengo nikuwasaidia wagonjwa na kuiunga mkono serikali katika kuwahudumia wagonjwa maospitalini ametoa wito kwa taasisi zingine waweze kutoa misaada kama hii na wawafariji wagonjwa


habari picha na ALLY THABITI

CHAMA CHA CUF YAZIKA TOFAUTI ZAO

Mkurugenzi mawasiliano KAMBAYA  amesema chama chao cha CUF sasa wamekuwa kitu kimoja na wamekabidhiwa akaunt namba ya BENKI pia watashilikiana na MAALIM SEFU KAMBAYA  ametoa wito kwa wana chama wa CUF na wapenzi wao wa BARA na VISIWANI wawe kitu kimoja

habari picha na ALLY THABITI

NA HAPA WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

MENEJA DTB BENKI TAWI LA MOROKO AMTEMBELEA MTOTO MWENYE KICHWA KIKUBWA

Meneja wa tawi la moroko wa DTB BENKI  amemtembelea mtoto mwenye ugonjwa wa kichwa kikubwa kwenye Ospitali ya Taifa ya MUHIMBILI  aliye fanyiwa upasuaji uku akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa MOI

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

EFM REDIO NA DTB BENKI WALEJESHA NDOTO ZA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI

Mtangazaji wa kipindi  cha watoto EFM REDIO FROLA AMONI amesema lengo la kutoa msaada wa dawa wao na DTB BENKI kwaajili ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwenye kitengo cha MOI katika OSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ili kulejesha ndoto za watoto hawa pia kwaajili ya kuwathamini kwani amesema watoto hawa walikuwa wamesaaulika kwa jamii Taasisi nyingi wanapeleka misaada mingi kwa watu wajane na yatima kwani watoto ni taifa la leo ivyo watoto hawa waweze kusaidiwa nguo vyakula na daipa

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

MOI YAISHUKURU DTB BENKI NA EFM REDIO

Mkurugenzi waMOI amewashukuru DTB BENKI na EFM REDIO kwa msaada wa dawa kwaajili ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwani dawa zitasaidia kuwatibu watoto hawa Pia amewapongeza kwa kumuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda kwani Taifa lenye wagonjwa aliwezi kupata maendeleo ametoa wito kwa taasisi zingine ziweze kutoa misaada mbalimbali hasa ya dawa kwenye OSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI   na ospitali zingine za serikali

habari picha na ALLY THABITI

DTB BENKI YAKABIDHI MSAADA WA DAWA OSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

mwakilishi wa benki ya DTB akimkabidhi  mkurugenzi wa  kitengo cha MOI msaada wa dawa wenye thamani ya shilingi milioni 4 dawa hizi zitasaidia watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi wakishilikiana na EFM REDIO


habari picha na ALLY THABITI

Wednesday 21 June 2017

PICHA YA PAMOJA WAZIRI JENSTA MWAGAMA

Waziri wa vijana,ajira ,kazi na watu wenye ulemavu yupo kwernye picha ya pamoja na viongozi wa shirika la MAKULATA siku ya mtoto wa Afrika na kushehekea miaka 25 ya shirika ili


habari picha na ALLY THABITI

WAZIRI JENSTA MWAGAMA ATOA ZAWADI

baada ya vijana wa shirika la MAKULATA kumaliza mafunzo yao ya ujuzi waziri wa vijana,ajira kazi na watu wenye ulemavu JENSTA MWAGAMA amewapa vyeti

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

SHIRIKA LA MAKULATA LAAKIKISHIWA KUPATA NEEMA KUTOKA SERIKALI KUU

Waziri wa vijana,ajira na watu wenye ulemavu JENSTA MWAGAMA ameliakikishia shirika la MAKULATA kuwa vijana wanaowafundisha ujuzi wa aina mbalinbali serikali itawasaidia kuwarasmisha vijana hao kwenye mfumo VETA ili wapate vyeti na waweze kuajiliwa amesema haya kwenye kilele cha siku ya mtoto wa Afrika ambako uazimishwa kila mwaka tarehe16/6

habari picha na ALLY THABITI

DIWANI WA VITI MAALUMU WA MANISIPAA YA KINONDONI AMEMPONGEZA MEYA WA KINONDONI NA MKURUGENZI WAKE

ROSE  ni diwani wa viti maalum amempongeza meya wa kinondoni na  mkurugenzi wake baada ya kuakikishiwa madiwani wote kinondoni wote  watapewa kadi za bima ya AFYA na viwanja vya makazi yao pia ametoa wito kwa meya na mkurugenzi wake waweze kuingiziwa pesa zao kwa wakati


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

MBWANA SAMATA ATOA ZAWADI NONO

Mchezaji nguri wa mpira wa miguu anaekipiga soka la kulipwa URAYA na pia ni kepteni wa timu ya TAIFA YA TANZANIA MBWANA ALLY SAMATA akiambatana na mkurugenzi mtendaji wa benki ya DTB amempa mtoto zawadi ya mpira kama jkielelezo cha mtoto huyu kuendelena na kukuza kipaji chake cha mpira

habari picha na ALLY THABITI

JUMUIYA YA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

FLENKI CHUMA mwenyekiti wa mabaharia Tanzania  kwaniaba ya mabaharia wenzake wamempongeza rais MAGUFULI kwakupambana na  wadhirifu na kuzuia makontena yenye mchanga wa dhahabu pia jumuiya ya mabaharia imemuomba rais MAGUFULI aweze kurudisha nasako bandarini kwani itasaidia kuondoa ubadhirifu bandarini  pia italeta ajira kwa watanzania wametoa wito kwa rais MAGUFULI aweze kushirikiana na watu wa meri

habari picha na ALLY THABITI

MKURUGENZI WA MANISIPAA YA KINONDONI AWATOA OFU MADIWANI WA KINONDONI

Kutokana na kuondolewa kodi ya mabango ya matangazo  kwapesa kukusanywa na serikali kuu ya mabango hayo na si manisipaa tena Mkurugenzi wa manisipaa ya kinondoni  amewatoa ofu madiwani wa kinondoni katika kupata pesa za miradi mbalimbali pia amewataka madiwani wabuni njia zxa kupata pesa na si kulalamika

habari picha na ALLY THABITI

BENKI YA DTB YAMKUTANISHA SAMATA NA WATOTO

Katika kuazisha siku ya mtoto wa Afrika banki ya DTB imeweza kumsainisha MBWANA SAMATA  mkataba wa miezi 6 ili awe barozi wa benki yao na hapa MBWANA SAMATA akijumuika na watoto kwenye viwanja vya kidongo chekundu

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

BARAZA LA MADIWANI LA KINONDONI LAMWAGA PONGEZI KWA RAIS MAGUFULI

Meya wa kinondoni BENI SITA kwaniaba ya madiwani wa kinondoni wamempongeza rais MAGUFULI  kwakuweza kusimamia na kulinda rasilimari za Tanzania kwakuweza kuwafichua m,afisadi wa mchanga wa madini pia meya wa kinondoni amesema lengo lao kukusanya bilioni 43 ametoa wito kwa jamii kuweza kuwaunga mkono

habari picha na ALLY THABITI

Tuesday 20 June 2017

TAMWA YAPONGEZWA KWA KUWAKUTANISHA WADAU SIKU YA MTOTO WA AFIRIKA

SHEKH SHOMARI MCHONGOMA ameipongeza tamwa kwa kuweza kuwakutanisha viongozi wa dini na waandishi wa habari amesema kukutana kwao kutasaidia kuweka nguvu ya pamoja kwaajili ya kupiga vita dhidi ya ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa watoto ametoa wito kwa jamii kutoa malezi bora,malezi mazuri na kuwaurumia watoto ili waishi katika maisha ya matumaini,amani na faraja shekh SHOMARI MCHONGOMA mjumbe wa baraza la BAKWATA jijini dar es salaamu amewaomba TAMWA wazidi kuwakutanisha na wadau mbalimbali kwaajili ya kuelimishana na kufunzana jinsi ya kupiga vita ukatili wa kijinsia kwa watoto amesema haya kwenye ofisi za TAMWA zilizopo sinza mori



habari picha na VICTORIA STANSLAUS

SHINA LA DHAMBI LIMEKUWA CHANZO KIKUBWA CHA UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO

LUKASI SINGILI katibu mkuu mstaafu wa kanisa la ANGRIKANA dayosisi ya PWANI amesema  shina la dhambi ni kikwazo kikubwa cha ukatili wa kijinsia kwa watoto hivyo amewataka viongozi wenzake wa kidini watoe elimu ya kutosha kwa waumini juu ya kuachana na vitendo vya ukatili wa kijinsia pia amewataka watanzania wawe na hofu ya Mungu na wamuogope amesema haya kwenye semina ya TAMWA iliyojumuisha waandishi wa habari na viongozi wa dini yeye akiwakilisha CCT pia ametoa wito kwa asasi zingine zitoe semina kama TAMWA 

habari picha na ALLY THABITI

MWANA SAIKOROJIA WA TAMWA AELEZA UKATILI UNAVYOMUATHILI MTOTO

JOHN AMBUROSEamesema watoto wanapo nyanyasika kijinsia wanaasilika kibaiorojia ,kisaikorojia na kijamii ivyo amewata waandishi wa habari na viongozi wa dini watoe elimu ya kutosha kwa jamii kuusu ukatili wa kijinsia unavyowaathili watoto Pia ameelezea madhara ya muda mrefu na muda mfupi wanayoyapata watoto kutokana na ukatili wa kijinsia amesema haya kwenye semina ya siku moja kati ya viongozi wa dini na waandishi wa habari ilioandaliwa na TAMWA siku ya kilele cha mtoto wa afirika inayoazimishwa tarehe 16/6 kila mwaka semina iyo imefanyika kwenye ofisi zaTAMWA zilizopo sinza mori

habari picha na ALLY THABITI