LUKASI SINGILI katibu mkuu mstaafu wa kanisa la ANGRIKANA dayosisi ya PWANI amesema shina la dhambi ni kikwazo kikubwa cha ukatili wa kijinsia kwa watoto hivyo amewataka viongozi wenzake wa kidini watoe elimu ya kutosha kwa waumini juu ya kuachana na vitendo vya ukatili wa kijinsia pia amewataka watanzania wawe na hofu ya Mungu na wamuogope amesema haya kwenye semina ya TAMWA iliyojumuisha waandishi wa habari na viongozi wa dini yeye akiwakilisha CCT pia ametoa wito kwa asasi zingine zitoe semina kama TAMWA
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment