ALHAD MUSA SALMU amewataka waislam waendeleze mema utakavyo malizika mwezi mtukufu wa ramadhani Pia amesisitiza kudumisha amani, upendo ,mshikamano na utulivu kwa waislam na wasio waislam amewataka wele wote walio funga watoe sadaka ya mchere kilo mbili na nusu kabla yas kusali EID AL FITR kwa masikini na mafakiri Ametoa wito watu washerekehe sikukukuu ya EID bila vurugu na wasifanye maasi ikiwemo kunywa pommbe na kwenda sehemu za muziki .Hamewaasa wazazi wawalinde na kuwachunga watoto wao shekh mkuu amemaliza na kusema ibada ya EID kitaifa itafanyika mkoani KIRIMANJARO ambapo itaambatana na baraza la EID kwenye viwanja vya polisi CCP ambako mgeni lasmi atakuwa waziri mkuu wa Tanzania MAJARIWA KASIM MAJARIWA kwa mkoa wa DAR ES SALAAM ibada ya EID itafanyika viwanja vya MNAZI MMOJA ambako itaoongozwa na rais mtaafu wa awamu ya pili ALLY HASANI MWINYI amesema haya kwenye ftari ilioandaliwa mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment