SHEKH SHOMARI MCHONGOMA ameipongeza tamwa kwa kuweza kuwakutanisha viongozi wa dini na waandishi wa habari amesema kukutana kwao kutasaidia kuweka nguvu ya pamoja kwaajili ya kupiga vita dhidi ya ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa watoto ametoa wito kwa jamii kutoa malezi bora,malezi mazuri na kuwaurumia watoto ili waishi katika maisha ya matumaini,amani na faraja shekh SHOMARI MCHONGOMA mjumbe wa baraza la BAKWATA jijini dar es salaamu amewaomba TAMWA wazidi kuwakutanisha na wadau mbalimbali kwaajili ya kuelimishana na kufunzana jinsi ya kupiga vita ukatili wa kijinsia kwa watoto amesema haya kwenye ofisi za TAMWA zilizopo sinza mori
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment