Waziri wa biashara ,viwanda na uwekezaji CHAZI MWIJAGE ameweza kuwasaidia watu wenye ulemavu wa aina mbalimbali kushiriki kwenye maonyesho ya 41 ya saba saba kwakuwapa eneo rafiki la kuweka bidhaa zao ukilinganisha na kipindi kilichopita pia amewapongeza kwa ushiriki wao na kuwataka watu wengine wenye ulemavu waweze kushiriki kwenye shughuri mbalimbali za ujenzi wa Taifa ametoa wito kwa jamii wasiwafungie,wasiwabague na wasiwanyanyapae bila kujali aina ya ulemavu wao badala yake wawapeleke shule na wawape mitaji ya biashara
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment