Friday, 23 June 2017

MGANGA MKUU WA DAR ES SALAAM ACHANGIA DAMU

GRESI MAGEMBE ni mganga mkuu wa dar es salaam ameshiriki kwenye zoezi la kuchangia damu kwenye be4nki ya damu salama na yeye ametoa damu yake kwaajili ya kuweza kunusulu uhai wa watanzania asa wakina mama wajawazito ambao upoteza maisha pindi wanapo jifungua kwa kupungukiwa na damu ivyo ametoa wito kwa jamii iweze kujitokeza kwaajili ya kutoa damu yao kwenye vituo mbalimbali vya Afya na Ospitali zikiwemo AMANA ,MWANANYAMARA ,TEMEKE  ZAKIEMU MUHIMBILI na SINZA PALESTNA

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment