Sunday, 4 June 2017

CHAMA CHA MAALBINO CHAWATAKA WATANZANIA WAJITKEZE KWENYE MAAZIMISHO YAO.

Chama cha maalbino tarehe 13 mwezi wa 6 ni siku ambayo wataazimisha siku ya watu wenye ualbino duniani,ambako mgeni rasmi atakuwa waziri  mkuu mheshimiwa KASSIM MAJALIWA. Kauli mbiu ni Tafiti na takwimu ni muhimu kwa ustawi wa watu wenye ualbino, haya amezungumza ABILAHI OMARI ambaye ni mweka hazina wa chama cha watu wenye ualbino Tanzania.

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment