Monday, 26 June 2017

WACHANGIA DAMU WATOLEWA OFU

Meneja wa benki ya damu salama kanda ya mashariki mganga AVERINA MGASA amesema kuwa ukichangia damu damu aitoki mala kwa mala kama watu wavyosema  ivyo amewataka watanzania wote wazidi kujitokeza kuchangia damu amewapongeza waandishi wa habari wote kwa kutoa elimu kwa jamii  juu ya kuchangia damu pia ameeleza sifa za mchangiaji damu asiwe mama mjamzito,asiwe na ugonjwa waseli mundu,plesha,ugonjwa wa Ini,figo na magonjwa ya zinaa amesema kwa mwaka damu inayotakiwa kukusanywa vyupa laki3 ivyo wanakusanya vyupa vya damu laki 1tisini na sita ivyo ameiasa jamii ijitolee katika uchangiaji wa damu ili kutimiza malengo


habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment