Mkurugenzi waMOI amewashukuru DTB BENKI na EFM REDIO kwa msaada wa dawa kwaajili ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwani dawa zitasaidia kuwatibu watoto hawa Pia amewapongeza kwa kumuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda kwani Taifa lenye wagonjwa aliwezi kupata maendeleo ametoa wito kwa taasisi zingine ziweze kutoa misaada mbalimbali hasa ya dawa kwenye OSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI na ospitali zingine za serikali
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment