FRED MSIGARA ni meneja mshawishi wa CCBRT kwa watu wnye ulemavu amesema watu wenye ulemavu wajitokeze kuchangia damu kwenye benki ya damu salama kwani damu iyo itasaidia kunusulu vifo vya mama wajawazito na majerui wanaotokana na ajali pia itakuwa aakiba kwao wakipungukiwa na damu ivyo ataingia gharama ya kununua damu pindi watapoitaji FRED MSIGARA ameongezea akisema nchi yetu ya Tanzania inaitaji kiasi kikubwa cha damu ametoa wito kwa jamii wachangie damu kwa iyali yao na waachane na dhana potofu kuwa damu inauzwa nje ya nchi
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment