Sunday, 4 June 2017

IRENE UWOYA APATA ULAJI ITEL

msanii nguli wa maigizo amepata nafasi ya kuwa balozi kwenye kampuni ya simu ya itel, atakuwa balozi wa kutoa ujumbe  kwa jamii kupitia simu ya itel kwenye kampuni hiyo kwa muda wa mwaka mmoja.


habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment