Thursday, 29 June 2017
WAFANYA BIASHARA WAKARIAKOO WAMEASWA KUUNGANA PAMOJA
Kaimu mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara kariakoo JERADI amesema ni vema wafanya biashara wakaungana na wawe kitu kimoja ili waweze kutetea maslai yao kwa uraisi Pia amewataka wafanya biashara waweze kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano utakao fanyika tarehe 1/7/2017 katika Hotel ya STAR LIGHT ili waweze kufaamu mapato na matumizi na mwenendo wa jumuiya na kupewa namna ya kuendelea kibiashara pia jumuiya ya wafanya biashara wa kariakoo inamuungamkono kwa dhati rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda akiambatana na mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara
Habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment