Sunday, 11 June 2017

AZAM TV ITAONESHA MICHUANO YA NDONDOCUP

Mkurugenzi mtendaji wa AZAM TV TIDO MUANDO amesema wameamua kuonesha michuano hii lengo kuonesha vipaji vya vijana na kuwatafutia masoko ya ajira TANZANIA na nje ili wapate pesa na waweze kukuza uchumi wa tanzania


habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment