Mkurugenzi wa uchaguzi wa UV CCM tawi la bonde la mpunga kata ya MSASANI FRANSESI KILEO MTARO ameweka adharani matokeo ya uchaguzi kwenye tawi la BONDE LA MPUNGA ya uchaguzi wa umoja wa vijana wa CCM na kumtangaza NGAOMA ALLY NGAOMA kuwa ni mshindi kwenye nafasi ya uwenyekiti dhidi ya mpinzani wake TUAMINI MAKWINYO ambae amebwagwa chali kwakupata kura 6 hivyo amesema uchaguzi umekuwa wa uru na haki akukuwa na figisu figisu zozote
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment