AMINI ANTON MGENI mhariri wa vyombo vya habari kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam amesema mafunzo haya yatawasaidia wao pamoja na waandishi wengine kuibadilisha jamii juu ya fikra potofu na kandamizi zinazo chochea ndoa za utotoni ,ukeketaji na ulawiti Pia amewaomba TAMWA wawajengee uwezo viongozi wa madawati ya kijinsia na madaktari kuwapa ushirikiano waandishi wa habari pindi wanapo hitaji kuripoti habari za kijinsia.
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment