Sunday, 25 June 2017

WAISLAM WAMEASWA KUWAPUUZA WACHOCHEZI WA KIDINI

Haya yamesemwa na mwakilishi wa mufti wa Tanzania ABUBAKARI ZUBERI ambaye ni mjumbe wa ULAMAA shekh ALLY NGERUKO ameenda mbali zaidi kwakuwataka waislam na wasio waislam kulinda umoja wa kitaifa Pia amesema wao viongozi wa kidini wana muunga mkono rais MAGUFULI kwa kusimamia rasilimali za nchi pia wanamuombea kwa mungu yeye na wasaidizi wake kwa kazi nzuri wanazofanya haya amesema kwenye ftari ilioandaliwa na mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni  BENJAMINI SITA 


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment