Tuesday, 20 June 2017

MWANA SAIKOROJIA WA TAMWA AELEZA UKATILI UNAVYOMUATHILI MTOTO

JOHN AMBUROSEamesema watoto wanapo nyanyasika kijinsia wanaasilika kibaiorojia ,kisaikorojia na kijamii ivyo amewata waandishi wa habari na viongozi wa dini watoe elimu ya kutosha kwa jamii kuusu ukatili wa kijinsia unavyowaathili watoto Pia ameelezea madhara ya muda mrefu na muda mfupi wanayoyapata watoto kutokana na ukatili wa kijinsia amesema haya kwenye semina ya siku moja kati ya viongozi wa dini na waandishi wa habari ilioandaliwa na TAMWA siku ya kilele cha mtoto wa afirika inayoazimishwa tarehe 16/6 kila mwaka semina iyo imefanyika kwenye ofisi zaTAMWA zilizopo sinza mori

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment