IRENE UWOYA nibarozi wa kampuni ya itel amewataka wasanii wenzake watembelee vituo vya kulelea watoto wenye maitaji maalum amesema haya baada ya kuwatembelea watoto yatima wa kituo cha CHAKUWAMA kilichopo sinza mori pia ametoa wito kwa taasisi mbalimbali zitoe msaada kwa watoto wa namna hii amesema amesema haya baada ya kampuni yake ya itel kutoa msaada wa chakula na madaftali kwenye kituo cha CHAKUWAMA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment