Sunday, 11 June 2017

BENKI YA ZANZIBAR YATAKA KUFUNGUA MATAWI BARA

BENKI YA ZANZIBAR  inampango ya kufungua matawi Tanznia bara wamezungumza haya kwenye ftari walioiyandaa watu wa BENKI YA ZANZIBAR kwenye hotel ya Serena ambako imeudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo waziri JANUARY MAKAMBA kutoka ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira miongoni mwa maeneo watakayo fungua matawi ya benki ni KIGAMBONI TANDIKA na makao makuu yatakayo funguliwa DODOMA


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment