Naibu spika TULIA amawataka viongozi mbalimbali wajitolee pesa zao kwaajili ya kuwatibu watoto wenye matatizo ya moyo kwenye tasisi ya moyo ya jakaya kikwete amesema haya baada ya kumtembelea mtoto DORINI SOSTENES na kumpa msaada wa milioni mbili kwaajili ya matibabu ya ugonjwa wa moyo jumla ya watoto500 mpaka 700 wanatakiwa watibiwe mpaka sasa watoto150 wamepata msaada wapesa ili watibiwe
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment