Sunday, 11 June 2017

MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE AELEZA CHANGAMOTO

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya moyo ya jakaya kikwete MUAMEDI JANABI amesema uchache wa vyumba vya upasuaji ,wafanya kazi ,vifaa na dawa imekuwa changamoto katika taasisi ya moyo ya jakaya kikwete katika kuwatibu wagonjwa wa moyo ameiomba serikali kupitiakwa naibu spika waweze kutatua changamoto hizi pia amewaomba wadau waweze kutoa pesa kwaajili ya kuwatibu watoto waosumbuliwa na matatizo ya moyo kwani mtotommoja gharama yake milioni8.5


habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment