MKUU WA WILAYA YA ILALA AMEWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KUCHANGIA DAMU
Mkuu wa wilaya Mama SOFIA MGEMA ameyasema hayo siku ya damu salama zoezi ili limefanyika wilaya ya Ilala ambako amesema uchangiaji wa damu iyo utasaidia kunusulu maisha ya watanzania
No comments:
Post a Comment