Thursday, 29 June 2017

TOZO YA 0.5 NI MWIBA MKALI KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO

Katibu wa jumuiya ya wafanya biashara wa maduka kariakoo ABDALA MWINYI  amesema  tozo wanayo tozwa ya pesa ya 0.5 imekuwa ni tatizo kwao kwani tozo iyo iinawafanya wafanya biashara kutozwa pesa ya mtaji wao ndio maana maduka mengi kariakoo yamefungwa Ameiasa serikali isitumie nguvu kubwa katika kukusanya kodi kariakoo badala yake nguvu hizo wazitumie kuboresha miundombinu ya soko la kariakoo Pia watengeneze mazingira bora ya kuwashirikisha wafanya biashara kwenye  huundwaji wa sheria za kodi .ametoa wito kwa serikali imtambue mfanya biashara kuwa ni mlipa kodi nasio mwizi wala mkwepa kodi  amemalizia kwa kuwataka wafanya biashara wajitokeze kwa wingi kwenye mkutano mkuu utakao fanyika Hotel ya STAR LIGHT ukao fanyika tarehe 1/7/2017


habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment