Sunday, 25 June 2017

VIONGOZI WA KIDINI WAMEOMBWA KUENDELEZA MSHIKAMANO

Mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA  amewaomba viongozi wa kidini wazidi kushilikiana na viongozi na madiwani wa  halmashauri ya kinondoni pia amesema kama kuna tatizo lolote viongozio wa kidini wasisite kuwaona amemaliza kwa kuwashukuru wote waislasm na wasiowaislam kwa kuudhuria kwernye ftari ilioandaliwa na halmashauri ya KINONDONI  kwani wameonyesha umoja na mshikamano ametoa wito kwa watanzania wazidi kumuunga mkono rais MAGUFULI kwaku;linda na kutetea raslimali za nchi Pia amewaomba viongozi wa kidini wazidi kumuombea rais MAGUFULI

Habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment