Sunday, 25 June 2017

NGAOMA ALLY NGAOMA AUKWAA UWENYE KITI WA UV CCM KWA KISHINDO

NGAOMA ALLY NGAOMA amembwaga mpinzani wake TUMAINI MAKWINYO kwenye uchaguzi wa umoja wa vijana ccm kwenye tawi la BONDE LA MPUNGA kata ya MSASANI nakupata nafasi ya UWENYEKITI wakati uchaguzi unaendelea TUMAINI MAKWINYO aliondoka kwenye ukumbi wa kupiga kura ataivyoMWENYEKITI NGAOMA ASLLY NGAOMA  amesema atasimamia haki ,uadilifu ,amani na kulinda mali za chzma nawatakao kuwa wabadhilifu wa mali za chama na watakao kiuka maadili hatua kali zitachukuliwa zidi yao kwa kufuata kanuni, taratibu na sheria zilizopo ndani ya chama cha ccm amemalizia kwa kusema Umoja WA VIJANA WA CHAMA CHA CCM TAWI LA BONDE LLA MPUNGA NA KATA YA MSASANI kwaujumla wanamuunga mkono rais MAGUFURI kwaatua kali anazochukuwa dhidi ya wabadhilifu na mafisadi ivyo wapo ntyuma yake ametoa wito baada ya uchaguzi kumalizika watakuwa kitu kimoja na kushilikiana nao waliokuwa wapinzani wake


habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment