Wiraya 10 zaongoza kwa ukatili wa kijinsia ikiwemo kinondoni haya amesema mkurugenzi mtendaji wa chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania [TAMWA] kwenye semina ya waariri wa habari wa vyombo mbalimbali ivyo amewataka watumie taaluma yao kutokomeza vitendo vya ubakaji na ulawiti kwa kuandika makala za kina juu ya unyanyasaji wa kijinsia
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment