Wednesday, 7 June 2017

KAMPUNI ZA SIMU ZA MKONONI HALOTEL ZATEKERYA AGIZO LA RAIS MAGUFULI

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya halotel LE VAN DAI amesema kuanzia sasa wameanza kutekeleza agizo la rais MAGUFULI kwa simu za mkononi kutumia mashine za kielectroniki kuanzia sasa kwenye huduma zao kwani itasaidia kuwepo uwazi kwa kodi wanazolipa TRA  pia   mkurugenzi mtendaji wa halotel amefurahia mafanikio waliopata la ongezeko la wateja73,872 taarifa hii wametaka kutoka mamlaka ya mawasiliano tanzania TCRA pia wametenga kiasi cha bilioni 200 kwaajili ya kuboresha miundombinu ya mtandao wa halotel na kuongeza kasi ya intaneti na kuwafikia watu mijini na vijijini kwa uraisi amezungumza haya kwenye makao makuu ya halotel jijini dar e salaam

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment