SHEKH SHARIYA HEMED JALALA amesema kwaniaba ya viongozi wenzake na waumini kwaujumla wanalaani vikali mauaji yanayotokea KIBITI wilayani MKURANGA mkoa wa PWANI ivyo amewataka viongozi wa kidini waungane pamoja katika kutoa elimu,kufanya maombi na kutoa nasaha pamoja na kuwasii watanzania wote waache mala moja kufanya mauaji yanayotokea KIBITI kwani inachafua TAIFA letu na kuatalisha Amani tulio nayo Hamekwenda mbali zaidi kwa kusema ni vyema sasa viongozi wa kidini wote kuwa kitu kimoja bila kujali itikadi zao, madhehebu yao na rangi zao pamoja na makabila yao ametoa wito kwa watanzania watume akili katika kufanya mema ili isitokee kama PALESTINA na PAKSTANI amesema haya kwenye ibada ya EID AL FITR ambayo imefanyika kwenye msikiti wa AL GHADIR uliopo kigogo wilaya ya kinondoni jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment