Wednesday, 7 June 2017

MAKABIDHIANO YA WIZARA YA FEDHA NA BENKI YA KILIMO

Naibu katibu mkuu wizara ya fedha namipango DKT KHATIBU.M.KAZUNGU akikabidhiana makubaliano ya fedha ya bilioni 209.5 na kaimu mkurugenzi mtendaji wa bankiya maendeleo nakilimo tanzaniaFRANCIS J.ASSENGA kaimu amesema  fedhahizi zitatolewa kwawakulimawote na ameishukuru serikali kwakuikumbuka sekta ya kilimo mpaka sasa wamewafikia wakulima 3700 tanzania kote na kiasi fedha kinachoitajika bilioni nane

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment