Friday, 16 June 2017

AFSA MASOKO WA DTB BENKI AMEZITAKA BENKI ZINGINE ZISAIDIE BENKI YA DAMU SALAMA

Afsa masoko waDTB  BAGUMA HAMBALI amesema haya kwenye siku ya damu salama pia ameongezea kwa kusema wao waguswa na jambo ili ndio maana wamejitolea


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment