Waziri mkuu wa Tanzania MAJALIWA KASIMU MAJALIWA amezinduwa kituo cha kuwatibia waathirika wa madawa ya kulevya eneo la ITEGO mjini DODOMA kituo hiki kitakuwa kinatoa tiba bule kwa waathirika na kuweza kuludisha matumaini ya nguvu kazi ya Taifa inayopotea ya vijana kulia na Waziri wa Afya, jinsia, watoto na wazee UMI MWALIMU na kushoto na Kamishna wa kupambana na madawa ya kulevya ROGERS SIANGA kwenye mazimisho ya kitaifa ya kupinga matumizi yz madawa ya kulevya kwa wauzaji na watumiaji Duniani kuazimishwa tarehe 29/6 kila mwaka
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment