Waziri mkuu wa Tanzania MAJALIWA KASIMU MAJALIWA amesema wale wote wanaouza na kuingiza Dawa za kulevya nchini wakikamatwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yao kwani dawa izo za kulevya zinapoteza nguvu kazi ya nchi ususani vijana hivyo bila kuwachukulia hatua yeyote wauzaji na waingizaji wa dawa hizo watazolotesha uchumi wa nchi na kudhoofisha mipango ya rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya uchumi wa viwanda ametoa wito kwa vijana wenye umri wa miaka15 mpaka 35 wajiepushe na matumizi ya dawa za kulevya Pia ameitaka jamii iwafichue wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya pia jamii iwapeleke vijana wao walioathirika na madawa ya kulevya kwenye vituo na Ospitali kwaajili ya tiba amesema haya siku ya maadhimisho yakupiga vita madawa ya kulevyaambako tarehe29/mwezi wa sita 6 ambako uazimishwa kila mwaka kwa Tanzania imeazimishwa kwenye viwanja vya nyerere jijini DODOMA
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment