Profesa wa uchumi wa chuo kikuu cha MZUMBE PROSPA NGOWI amesema ongezeko ya idadi ya watu nchini iwe fursa katika uzalishaji mali kwani itasaidia kukuza uchumi wa Tanzania na serikali iweze kuboresha miundo mbinu ya elimu na Afya kwani itasaidia kuelekea Tanzania ya uchumi wa kati na viwanda amesema haya kwenye kilele cha siku ya idadi ya watu Duniani kwenye hotel ya serena jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment