Waziri wa fedha amezitaka taasisi za kifedha zinazotoa huduma ndogo ndogo za kifedha zitoe masharti nafuu kwa wafanya biashara wadogo wadogo pia amewataka waweze kufuatilia pesa wanazotoa kwenye miradi pia amewata wabuni mikopo kwenye sehemu zenye fursa mfano arizeti, uyoga na ufugaji wa samaki pia amewataka watumie technorojia ya kisasa lengo wawafikie wananchi kwa wingi ametoa wito kwa serikali kutengeneza sela nzuri amewataka taasisi za kifedha ziweze kulipa kodi sitaiki pia amewapa faraja wana TAMFI kwa kuambia kuwa sera ya maikofenense kufika mwaka2018 itakuwa sheria rasmi hamesema haya kwenye mkutano wa TAMFI kwenye ukumbi wa mwalimu nyerere uliopo posta jijini dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANLAUS
No comments:
Post a Comment