TERESIA SOKA mkuu wa kitengo cha masoko wa benki ya TIB benki amesema wale wote wanaoagiza mizigo nje ya nji kupitia bandari ya Dar es salaam watalipa kodi zao za mizigo kupitia tawi la benki la TIB lilopo bandarini tena kwa masaa 24 bila kujali kama upo benki zingine TERESIA SOKA amesema watanzania watembelee banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba ili wajipatie huduma mbalimbali kuna aina tatu za TIB benki ya Kwanza inausika na maendeleo mfano miundombinu ya Pili inausika na rasilimali inajiusisha na ushauri wa uwekezaji na ya Tatu inashuurikka na maswala ya biashara ambako utoa huduma za kibiashara kwenye taasisi mbalimbali ametoa wito kwa jamii wafunguwe akaunti kwenye benki ya TIB kwaajili ya usalama wa pesa zao na ni benki ya kitanzania
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment