Monday, 3 July 2017

BODI YA UTARII YAFURAISHWA NA UJIO WA CHOMBO CHA KUTAFUTA MIKUTANO YA KIMATAIFA

Mwenye kiti wa bodi ya Utarii Tanzania JAJI MAIKO MIAYO  amesema chombo cha kutafuta mikutano ya kimataifa nje ya nchi kikikamilika kuundwa nchini Tanzania kitasaidia kutangaza na kukuza utarii wetu hapa Nchini kwani chombo icho kitaleta watu wengi wa kigeni na watu awa watatembelea kwenye sekta za kitarii apa nchini zikiwemo mali kale,wanyama na sehemu zingine za asili ivyo ameiomba serikali kusimamia kikamilifu uundwaji wa chombo hiki kwa manufaaa ya Taifa na watanzania kiuchumi

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment