Katibu mkuu wa chama cha ADC DOYO ASANI DOYO amemuomba rais MAGUFULI kubadili msimamo wake juu ya vyama vya siasa kufanya shuuri zao za kisiasa zikiwemo mikutano ya adhara, makongamano na semina mbalimbali DOYO ASANI DOYO amesema kuwa chama chao cha ADC kwao ni kikwazo kikubwa kwa msimamo huu wa rais MAGUFULI amesema haya kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa baada ya kupokelewa na katibu mkuu wa mkoa wa dar es salaam ivyo DOYO ASANI DOYO ameupongeza uongozi mzima wa mkuu wa mkoa wa dar es salaam kwa mapokezi makubwa . kutembelea maeneo mbalimbali zikiwemo sehemu za taasisi za kidini , maospitalini , jera ya watoto na vituo vya vyombo vya habari Jumla ya wajumbe 14 wa chama cha ADC wameambatana na katibu mkuu wao DOYO ASANI DOYO kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam ametoa wito kwa serikali wawape kibari cha kufanya mikutano ya adhara kwani watatumia rugha safi na bila vulugu yoyote
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment