ERIKI MIDUNDA meneja mikakati wa kampuni ya AGRICOM ni kampuni ya kitanzania inayojiusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa vya kilimo lengo la kuanzishwa kwa kampuni hii mwaka 2009 ni kumsaidia mkulima wa kitanzania aache kulima kilimo cha kupinda mgongo na badala yake kutumia zana bora za kilimo na za kisasa kutokana na hali duni za wakulima wana wakopesha vifaa vya kulimia ikiwemo matrekta Meneja mikakati wa kampuni hii amewataka watanzania watembelee banda lao lililopo kwenye maonyesho ya saba saba wajionee na wanunue zana za kilimo Hameishukuru serikali ya tanzania kutowatoza kodi pindi wanapo ingiza zana zao kilimo Pia wanamuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda kwa kuwakopesha zana bora za kilimo wakulima ametoa wito kwa asasi za kibenki wawakopeshe wakulima kwani kilimo kinakopesheka na kinalipa
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment