Mkurugenzi wa udahili wa GLOBAL EDUCATION ZAKIA NASSORO amesema vijana wa kitanzania wachangamkie fursa za kwenda kusoma nje ya nchi kwaajili ya kupata ujuzi zaidi na kujifunza maswala mbalimbali ya techinorojia mpiya na za kisasa kwa kupitia taasisi yao ya GLOBAL ambayo inatambulika na serikali ya Tanzania katika kuwatafutia nafasi za kwenda kusoma nje ya nchi na kudahili wanafunzi hawa amewataka wanafunzi wa kitanzania waweze kujitambuwa katika kozi wanazosoma na wasifuate mkumbo Taasisi hii ina jumla yanchi 15 ambapo wanawapeleka wanafunzi na ada zao shilingi milioni3 na hapa nchini wana ofisi 6 Dar es salaam ndio makao makuu kwenye viwanja vya sabasaba na wanapatikana kupitia kwa simu ya mkononi 0656 200200 Arusha na Mwanza wapatikana pia amewatoa ofu wazazi na walezi kuwa nchi wanazowapeleka vijana wao zina amani na usalama
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment