Saturday, 8 July 2017

BENKI YA NMB YAJA NA MIKAKATI MIZITO KWA WAJASILIAMALI WADOGO WADOGO

DORIS A.KILALE  nimwakilishi wa NMB amesema wameamuwa kuanzisha mikopo kwa wafanya biashara wadogo wadogo asa mama ntilie na wachoma vitumbuwa lengo nikuwasaidia ili wawe wajasiliamali wakubwa pia wameamuwa kuanzisha akaunt kwa watoto lengo kuwawezesha watoto wawe na pesa zao wenyewe DORIS A.KILALE  ametowa wito kwa jamii watembelee banda la NMB kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba wapate huduma bora na za uhakika zaidi  Pia wanamuunga mkono rais MAGUFULI  kuelekea Tanzania ya viwanda kwa kutoa mikopo nafuu na isiyo na liba kubwa kwa wafanya biashara


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment