Katibu mkuu wa uwenezi na siasa wa chama cha CCM AMFREI POLEPOLE amesema anafurahishwa na jinsi ya chaguzi za jumuiya mbalimbali zinavyoendeshwa ndani ya chama cha mapinduzi CCM amesma kuwa chaguzi zimekuwa za uru na haki ametoa rai kwa wanachama wa CCM wazidi kukiimarish chama na kukipigania chama kwa masrai ya chama na Taifa kwa ujumla na wazidi kumuunga mkono MWENYEKITI wa chama cha CCM na ambaye ni rais wa Tanzania JONH POMBE MAGUFULI kwakulinda na kutetea raslimali za Taifa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment