RUTENI EDWADI GEZA kutoka idara ya kilimo amesema wanatekeleza agizo la rais MAGUFULI kwa kulitaka jeshi la kujenga Taifa lilime chakula cha kutosha kwaajili ya kuisaidia serikali katika kupeleka vyakula kwenye makambi ya kijeshi hapa Nchini RUTENI EDWADI GEZA amesema wameshaweka mikakati mbalimbali kwenye sekta ya kilimo kwa kuanzisha mashamba makubwa na kuanzisha mashamba darasa nakwa kulima kilimo cha kisasa ametoa wito kwa wakulima nchini wawatumie wataalam wakilimo na mbolea katika ulimaji wao
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment